Sauti ya Mwanachemba "Darkmaster" ambayo ilikuwa imepotea kwa Muda katika masikio ya mashabiki, sasa imerudi upya katika level mpya ya kimuziki, kupitia wimbo wake ambao umekuwa released hivi karibuni.
Wimbo wa Mwanachemba huyo unaitwa "TUSOMANE" ukiwa umetengezwa katika studio za One Love Fx, chini ya Producer Tiddy Hotter kutoka Jijini Mwanza, ambaye pia ametengeneza hit track ya Belle 9 - Listen.
Kwa sasa Producer Tiddy Hotter amekuwa akiwakirisha vizuri label ya One Love Fx, kutokana na kazi mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanyika pale, kupitia mtandao wa soundclound.com, Producer Tiddy Hotter ameandika......
"huu ni muonekano tofauti wa hip hop tofauti na watu walivyozoea kuvisikia hii ni ari mpya ya Darkmaster.....TUSOMANE"
Sikiliza na Download hapa Track ya Mwanachemba.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment