Kwa mara nyingine toka katika Jiji lenye miamba Mwanza ni burudani nyingine tena ambayo inatoka kwa mtoto wa nyumbani, Msanii ambaye alihit na nyimbo kaza wa kaza ambazo mara nyingi hugusa maisha ya siku zote, mfano wimbo wake wa "Maisha" Huyu ni Jita man na wimbo wake mpya tena katika gemu hii akimshirikisha Fantasia unaitwa "Masomo" Je humo ndani kazungumzia nini? pata kuwa nayo nyimbo hii ufahamu ni nini kimeimbwa humo ndani. Download hapa....
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™