Blogger Widgets
Home » , , » DOWNLOAD | Niki Mweusi & Joh Makini - Tanzania (Snippet)

DOWNLOAD | Niki Mweusi & Joh Makini - Tanzania (Snippet)


Hiki ni kionjo cha ngoma mpya kabisa inayoitwa "TANZANIA" ambayo inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni kutoka kwa rapper Nikki Mweusi akiwa pamoja na Joh Makini.

Ngoma hii imefanywa ndani ya Studio ya NoisMaker iliyoko A-City.

 Kuwa wa kwanza kusikiliza kionjo hiki hapa chini ...

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.