Hit Replay ya wimbo wa Mswaki - Open Letter, ambao Mswaki alirap kama Marehemu Ngwair, kuhusiana na Msiba wa Ngwair, Mswaki alitenda haki katika ngoma hii, jinsi alivyorap, na pia kiitikio cha Ngoma hii kilifanywa vizuri sana na Unice.
We need more from Mswaki, ili hata kutabakizia hata sauti iliyoigizwa ya Mkali Ngwair
Unaweza ukasiliza hapo chini
Ghetto Langu from Mangwair on Myspace.
She Performs ft TID from Mangwair on Myspace.
Ndani Ya Club from Mangwair on Myspace.
Mikasi from Mangwair on Myspace.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment