Blogger Widgets
Home » , , » EXCLUSIVE | BABY MADAHA APEWA GARI NA KUSAINI MKATABA WA MILLION 50

EXCLUSIVE | BABY MADAHA APEWA GARI NA KUSAINI MKATABA WA MILLION 50



Baby Madaha amesaini mkataba wa milioni 50 na kampuni ya cand n’ candy records iliyo pande za Nairobi.
Meneja wa baby Madaha Joe Kariuki amesema kuwa pamoja na msanii huyo kupewa mkataba huo wa millioni hamsini (50) pia wamempa mwanadada huyo gari ya kutembelea ya kisasa aina ya AUDI TT na nyumba kali mitaa kijitonyama jijini Dar es salaam.  Mmiliki wa studio za candy n’ candy amesema anamipango ya kumuamisha Baby Madaha jijini Nairobi ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.