Ile video iliyowakutanisha wasanii watatu wakali AY, Mwana FA na J Martins “bila kukunja goti” itazinduliwa siku ya ijumaa.
Uzinduzi huo utaambatana na bonge la party ndani ya club ya Elements. Party itaanza saa kumi na mbili jioni mpaka usiku mnene.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment