Blogger Widgets
Home » , , » VIDEO | Nature amdiss GK kwa kauli yake kuwa ni "MunGu wa TMK"

VIDEO | Nature amdiss GK kwa kauli yake kuwa ni "MunGu wa TMK"



Maneno ya King Crazy GK wakati akitambulisha wimbo wake Mpya wa Baraka au Raana, kuwa yeye ni Mungu wa TMK Wanaume, Hajamkaa vizuri nguli wa Muziki Juma Nature.
Kutokana na hilo Nature ameamua kumponda Gk kuwa ahana lolote na wimbo wake ni mbaya, Msikilize hapa, ni wakati akielekea Fiesta, Morogoro


Source: Bongo5
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.