Blogger Widgets
Home » , , » DOWNLOAD | R. Mau - Kivyangu Vyangu (Audio)

DOWNLOAD | R. Mau - Kivyangu Vyangu (Audio)



*R. Mau* member kutoka wa *Identical Pacha* (*I.D.P*) linaloundwa na *SULE*pamoja na *R. Mau* ameachilia ngoma yake inayoenda kwa jina la *Kivyangu vyangu*. Anaomba uonyeshe ushirikiano wako katika ku unga mkono game la muziki wa Hip Hop hapa tanzania. Kwa sasa mwimbaji huyu wa Hip Hop yup chuo cha SAUTI jijini Mwanza akimalizia Degree yake ya Mass Communication, kisha atakuwepo official kwenye game la muziki baada ya hapo.

 Kuu download wimbo huo bofya hapa R. Mau - Kivyangu Vyangu

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.