Blogger Widgets
Home » , » MUZIKI | MADEE - SIO MIMI (Audio|Download Mp3)

MUZIKI | MADEE - SIO MIMI (Audio|Download Mp3)


Kama kwa sasa ambavyo anaita SHENEIDA, Raisi wa Manzese alimaarufu kama Madee, ametoka na wimbo mpya ambao unamrudisha vizuri katika game hii ya Muziki. Ngoma inaitwa "Si mimi"
Moja ya swali analouliza Madee katika Ngoma hii ni "Nani kamwaga Pombe yangu?"
Download na kusikiliza kujibu Swali hili_________________
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.