Blogger Widgets
Home » » NEW ARTIST FROM MWANZA | Download | BROWN WA NBA feat T-NOCK - RANGI YA MAKOPA(Mp3 Audio)

NEW ARTIST FROM MWANZA | Download | BROWN WA NBA feat T-NOCK - RANGI YA MAKOPA(Mp3 Audio)




Brown Wa NBA ni msanii anayekuja juu katika jiji la mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla ambaye pia ni kiongozi wa kundi la "NBA Money KAKA ZAO" pia alieleza kirefu cha (NBA) kuwa ni (National Bysir's of Africa) ambayo wengi wanaichukulia kama ni ligi kubwa ya kikapu kule pande za America, kiukweli Brown Wa NBA anaitaji support kubwa kutoka kwetu sote, watu wa kwenye media pamoja na mitandao mbali mbali hapa nchini na pia mashabiki waweze kumpokea kwa uzuri zaidi ndani ya tasnia ya muziki wa kizazi kipya alimaarufu kama Bongo fleva pia mashabiki zake wakae tayari kwa ajiri ya kazi zake zitakazofuata hapo baadae vile vile aliendelea kwa kusema kuwa video ya wimbo wake wa RANGI YA MAKOPA ataiachia hivi karibuni ambayo kafanya na ONE LOVE FX chini ya director Hyper pia akamaliza kwa kusema asanteni sana watu wote mmnaopenda kazi zangu na kusupport game hili la mziki wa kizazi kipya na mashabiki wangu wote nawapendeni sana

 Artist: Brown Wa NBA ft T-Nock -
Song: Rangi Ya Makopa

Produced by Lollipop
Studio: K-Reckord (Classic Music)
New artist from Mwanza
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.