Blogger Widgets
Home » , , , » OFFICIAL RELEASE 25.02.13 KAMA ZAMANI - MWANA FA feat KILIMANJARO BAND(NJENJE) ,MANDOJO & DOMOKAYA(AUDIO)

OFFICIAL RELEASE 25.02.13 KAMA ZAMANI - MWANA FA feat KILIMANJARO BAND(NJENJE) ,MANDOJO & DOMOKAYA(AUDIO)


Nyimbo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki, KAMA ZAMANI kutoka kwa MwanaFA akiwashirikisha wakongwe wa burudani nchini, Kilimanjaro Band[NJENJE] pamoja na Mandojo & Domokaya sasa kutoka Tarehe 25 mwezi huu. MwanaFA alisema wimbo hiyo itapatikana moja kwa moja katika mitandao mikubwa inayouza na kusambaza muziki duniani yaani iTunes, Amazon na Spotify .
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.