Hii hapa ilikuwa inasubiriwa kwa hamu, na mashabiki wa Muziki wa Tanzania, ni Official Video ya kwake Mabeste feat Deddy - "Dole". Ikiwa imefanywa na Director Nisher baada ya kufanya vizuri katika Press Play ya Dj Choka, ni mfulululizo tu wa Nggma kali kutoka BHITZ Music. Iangalie kwa mara ya kwanza kabisa hapa......
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™