Kutoka katika Studio za One Love Fx Jijini Mwanza, ambazo zinazidi kufanya vizuri katika kuhakikisha unazaridhishwa Muziki wenye kiwango. Hii ni Video nyingine ambayo wameiachia hivi karibuni ya Msanii Sal MO, Wimbo unaitwa I wanna Know...I check hapa.....
Artist:Sal-Mo
Song:In love
Prod:Tiddy Hotter
Rec Co:One Love Fx
Dir:Hypa & Shaibu
Video prod by:Hypa Ibadah
Production Co:One Love Fx
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™