"Kumraadhi mashabiki wangu nilipanga kwamba nitaweka wimbo mpya mtandaoni
kila ifikapo tarehe 15 ya kila mwezi na ningeanza na Agost 15 hii. .Mambo
hayakua sawa kutokana na tatizo la umeme kwa siku 4 mfululizo ,Nashukuru
nia bado ni ileile na leo nauachia rasmi wimbo mpya na kila ifikapo tarehe
15 fungua mtandaoni utakiri ahadi yangu..wimbo ninao anzanao ni
~nikikuonaga~ producer 'king fenya~ studio ni mbunda rec Karibuni mafans
na wapasha habari redioni,viwanjani na mtandaoni wimbo tayari upo
Mtandaoni". Bob haisa.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment