Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sasa King wa East Coast Team amerudi tena kwa staili ya aina yake katika Muziki tofauti na aina aliyoifanya hapo awali. King Crazy Gk aliyehit na ngoma kali za Hip Hop sasa anafanya Kwaito, Download hapa uisikilize ngoma yake mpya.....
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment