Natty E ni msanii wa kike kutoka katika Jiji la Mwanza na hii ni track yake Mpya ambayo kamshirikisha Kala Jremiah, itaachiwa rasmi kIjumaa katika vituo vya Redio hapa nchini, kwa kuirequest zaidi, lakini waweza kuidownload hapa.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment