DOWN;OAD | Danny Love - One Day - Audio
Danny Love ni msanii na producer ambaye asili yake ni Mbeya City na anafanya muziki wa RNB na pia HIP HOP. Wimbo wake huu One Day ameuproduce mwenyewe ndani ya Love maker records. Anaomba sapoti yako mdau wa muziki wa bongo yote pamoja na ushauri wako pia. Kwa mawasiliano na Danny Love mcheki kupitia +255 769 96 82 58 pia facebook DANIEL MWAKYOMA
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment