Kaka Dada ni wimbo unaohusu watoto wawili,wakiume na wakike waliokua
pamoja,wakawa kama kaka na dada. Walivyoendelea kukua ukaribu wao
ukazidi. Kwenye ngoma hii,jokate ana boyfriend ambae hamuelewi na Lucci
nae ana totoz wengi,na hiyo swala humfanya jokate awe na wivu.kumbe muda
wote, wao wawili wanapendana na kutamaniana. Enjoy!!
Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment