Blogger Widgets
Home » , » COMING SOON | Madee - Tema mate Tuwachape- (Audio)

COMING SOON | Madee - Tema mate Tuwachape- (Audio)


 Kutoka tena katika studio za Mj Record kwa Maco Chali hii ndiyo hit inayofuata kutoka kwa Mkali wa Pombe yangu Madee, sasa kutoka na kitu kingine "Tema mate tuwachape" unahisi hii ngoma itakuwaje? Itaifunika Pombe yangu?
Kaa tayari kwa hit hiyo, kujua inakuwaje!
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.