Blogger Widgets
Home » , » DOWNLOAD | Joh Bizzy - Love Me (Audio)

DOWNLOAD | Joh Bizzy - Love Me (Audio)


 "Unaweza ukajiuliza mambo mengi sana hasa katika kumueleza Mtoto wa kike na akakuelewa vizuri, na ukizingatia ulimwengu wa sasa, usiokuwa na uaminifu"

Lakini kutoka katika mashairi ya ngoma mpya ya Joh Bizzy, kadhihirisha inawezekana mtoto wa kike kukuelewa vizuri. Nyimbo inaitwa "Love Me" Download usikilize utunzi mzuri wa mashairi.


© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

1 comments:

  1. Kaza buti ndogo we are together...always success does not come to anybody..work hard so as to be yours.

    ReplyDelete

.