Blogger Widgets
Home » , , » DOWNLOAD | Wakazi ft El - Girl You Gon Kill Me (Audio for Azonto Concert)

DOWNLOAD | Wakazi ft El - Girl You Gon Kill Me (Audio for Azonto Concert)




Track mpya ya Wakazi, ambao ni special for the Azonto show. Original wimbo uliimbwa na Sarkodie & EL kutoka Ghana. Wakazi amepita ki Hip Hop zaidi kwenye beat hii ya Azonto Wakazi anatarajia kuachia EP yake ya ABACUS hivi karibuni, na pia Video ya wimbo wake wa TOUCH ambao unafanya vizuri sana Redioni ndani na nje ya nchi. 

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.