Wakubero aka Jeshi la Mbung'o wanadrop Bounce jipya kabisa kwa jina
"Mwerevu siafu" toka studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro, humu pia
sauti za Maalmando zimesikika vizuri akiwemo Nigga C Pamoja na Ordinaly,
Download ngoma HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Wakubero
kupitia +255 763 673 340
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment