Blogger Widgets
Home » , » HIP HOP | Darasa la Hip Hop la Fid Q kurudi tena!!

HIP HOP | Darasa la Hip Hop la Fid Q kurudi tena!!Farid Kubanda aka Fid Q aka Ngosha The Don, he’s a real Hip Hop super star hapa Bongo baada ya ngoma zake kibao ku-bang kwa hewa.  Fid Q decided kuanzisha darasa la Hip Hop kwa lengo la kuwapa skillz wasanii katika utungaji pamoja na kufokafoka. Lakini wakati Kubanda akiwa kwenye mission yake mwenye nyumba aliamua kumpiga bonge la boot na kumwonyesha mlango wa kutokea fastafasta. Kweli baada ya Ngosha kustopishwa class pia ilisimama, lakini Fid Q sio mtu wa ku-give up coz currently ameongea na BK Cop kuhusu hilo:
  
“Narudisha darasa langu la hip hop baada ya sehemu niliyokodi mwazo kuwa na magumashi ya kupandishiwa kodi na nikaona ni-stop ku-provide ma-skillz, but now nimepata place maeneo ya TMJ Mikocheni na pako very suitable kwa wanafunzi.” Ngosha ze swagger Don added to BK Cop, “Class itaanza soon na wanafunzi 35 wapo permanently so ninawakaribisha na wengine wote who likes Hip Hop”

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment