The Session ya Creative Minds wiki hii imetembelea studio ya Combination
Sound aka Combinenga na kupiga story na producer aliyetengeneza hits kibao
zikiwemo Baadae ya Ommy Dimpoz, na hivi sasa Yahaya ya Lady Jaydee, si
mwingine ni Mtayarishaji bora kwa mwaka 2013 kupitia KTMA, Man Water aka
Man Maji. Mtazame akifanyiwa mahojiano na Kennedy The Remedy
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
Home »
The Session
,
Video
» VIDEO | The Session with Man Water "Man Maji" wa Combination Sound Producer wa Yahaya ya Lady Jay Dee
0 comments:
Post a Comment