Blogger Widgets
Home » , » DOWNLOAD | T.I - My Potna (Audio)

DOWNLOAD | T.I - My Potna (Audio)


 T.I amerudi tena katika nafasi yake ya Kimuziki, hii ni baada ya kuachia nyimbo yake Mpya inayoitwa "My Potna" Nyimbo hii imetoka Rasmi Octoba 3 mwaka huu, ikiwa imejumuishwa katika Mixtape ya BET Award Hip Hop ya DJ Scream & DJ MLK, Katika Mixtape hiyo nyimbo ya T.I Imeonekana ni nyimbo ya kipekee, na ambayo ina hiti sana.
Download Hapa

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.