Blogger Widgets
Home » , , » MUSIC UPDATE | Azma - Wanasubiri nife (Audio & Video + Message)

MUSIC UPDATE | Azma - Wanasubiri nife (Audio & Video + Message)


WANASUBIRI NIFE BY AZMA ''AUDIO AND VIDEO LINK OFFICIAL RELEASE'''

''najua mnajua kuwa najua,ila hamuwezi nichukua kwenye tour, mnawachukua wasiojua, mitego wanayotega naitegua

siwezi nikajihusisha na makosa ya jinai ili napate riziki, kipaji changu ni hiki, bariki,kazi ya mikono yangu, wabariki mariki na maadui zangu''

NB DEDICATION KWA SAJUKI,LANGA, ALBERT MANGWEA,SHARO MILLIONEA,KANUMBA,MZEE KIPARA NA WASANII WOTE WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI WAKIWA NI MAARUFU LAKINI HAWANA KITU...

BONYEZA LINK HII UONE VIDEO YOTE

http://youtu.be/xlKxsVJey7Y

NA LINK HII DOWNOLOAD AUDIO ( CHEZA REDIO AU SAMBAZA KWA WATSAPP NK)

http://www.hulkshare.com/egogyci41534

NB UKIMALIZA HIYO

ONA NA HII NA HII KITA AND AZMA - I KNOW WHAT U WANT

http://youtu.be/01t-di2vU6w

MUNGU AWABARIKI....ITS EI ZED EM EI (MY NEW ALBUM WITH THIS SONG WILL BE OUT SOON)

contact:+255712 73 88 88 azmamponda@gmail.com

0 comments:

Post a Comment

.