Mchaka mchaka wa ngoma baada ya ngoma na video baada ya ngoma ndio
kwanza umeanza kutoka ndani ya Candy n’ Candy kupitia Baby Madaha.
Ikiwa ni wiki kadhaa tu zimepita tangu ngoma ya Summer Holiday idondoke
ikiambatana na video yake kali, hii hapa tena video nyingine ambayo
imekuja muda mfupi tu tangu audio yake idondoke kitaa inakwenda kwa jina
la ‘Squeeze Me’.
Mbali na video hiyo nimenong’onezwa kuwa ngoma nyingine kali inayokwenda kwa jina la ‘Mr. Dj’ inakuja wiki kadhaa zijazo.
© Dvj Sweetp
0 comments:
Post a Comment