Now Baby Madaha anafurahia mafanikio ya Muziki wake baada ya Kuingia kataba na Candy n Candy Record ya Kenya, Kama management yake mpya ya kimuziki. Baby Madaha amekabidhiwa Gari aina ya Audi TT, yenye thamani ya Pound 46,000 sawa na Millioni Mia na Kumi na Tano za Kitanznia.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment