Blogger Widgets
Home » , , , » PHOTO | Diamond Platnumz na Davido wakiwa Studio wakati wa #MyNumberOne Remix Recording

PHOTO | Diamond Platnumz na Davido wakiwa Studio wakati wa #MyNumberOne Remix Recording


 Hizi ni Picha za Diamond akiwa na Davido wakati wa uaandaaji wa Remix ya #MyNumber1, ambapo walikubaliana kuweka vionjo vya Nyimbo zao katika Remix hiyo , yaani Kutoka kwa Davido iliingizwa Skelewu, na kwa Diamond ni Ngololo.

© Dvj Sweetp

0 comments:

Post a Comment

.