Blogger Widgets
Home » , » Thanks For Your Votation, This is My Certificate!!

Thanks For Your Votation, This is My Certificate!!


 Kama unakumbuka kuna kipindi , niliomba sana unipigie kura katika shindano la Tanzania Blog Award. Natumai ulifanya Hivyo, nasema Shukrani sana, kwa kura yako. Ni hii picha juu, ndio Cheti ambacho nimetukiwa katika Nafasi ambayo kura zenu ziliniweka. Ahsanteni sana.
© Dvj Sweetp

0 comments:

Post a Comment

.