Ilikuwa kama haieleweki wakati inatangazwa na hata fliers zake ziliacha
maswali kwa fans wa mziki wa Bongo Fleva na Club kiujumla.
Hakika mapinduzi makubwa sana yameanzishwa siku ya jana kwenye swala
zima la upigaji muziki Club za usiku na hata shows na matamasha
mbalimbali ya burudani pande za Maisha Club. Uzinduzi wa style hiyo mpya
kwenye tasnia ya U-DJ Tanzania ulipambwa na show ya mwanadada anayetesa
kitaani na ngoma zake za ‘Nimevurugwa’ na ‘Majanga’, Snura aliyetoa
show ya nguvu ndani ya usiku huo.
© Dvj Sweetp
Home »
News
,
Xtreme Djs
» UPDATE | X-TREME DJZ YATAMBULISHA “LIVE DJ WITH DA DRUMS” KWA KISHINDO MAISHA CLUB
0 comments:
Post a Comment