Blogger Widgets
Home » , , , » MUSIC | Noorah ft Dully Sykes & Chegge - Acha Ushamba (Coming Soon)

MUSIC | Noorah ft Dully Sykes & Chegge - Acha Ushamba (Coming Soon)


 Baada ya kukaa kimya kwa Muda mrefu , sasa Noorah anakuja na ngoma mpya aliyomshirikisha Dully Sykes na Chegge, Ngoma ikiwa imefanywa katika Studio za Smart Music chini ya Producer Godfather Mbezi. Soon inakuja

© Dvj Sweetp

0 comments:

Post a Comment

.