Blogger Widgets
Home » , » OFFICIAL VIDEO | Wakazi - Touch

OFFICIAL VIDEO | Wakazi - Touch


Finnally Msanii wakazi ameachia video ya Kibao cha "Touch", ikiwa ni nyimbo ambayo aliiachia katika kipindi ambacho alikuwa ana perform katika Jumba la Big Brother.
Video ya "Touch" imetengenezwa nchini Afrika Kusini katika Mji wa Johannesburg chini ya Director Turas & Malonda, Nyimbo imetengezwa na Clintox S.A na kuongezewa vionjo na Lucci TZA.

Video iko Hapa

© Dvj Sweetp

0 comments:

Post a Comment

.