Blogger Widgets
Home » , » PHOTO | P Square Live In Dar (Show)

PHOTO | P Square Live In Dar (Show)



Siku ya jana tarehe 23/11/2013 katika viwanja vya Leaders Club ilikuwa ni siku ya ma-legendary wa East na West Africa wenye uwezo wa kuimba live na kutumia stage kwa namna yake.

Baada ya wasanii wa Kibongo kama vile Ben Pol, Lady Jaydee, Prof. Jay na Joh Makini kupanda juu ya Jukwaa na kuanza kuwapagawisha mashabiki kwa aina tofauti tofauti kwa masong yao kibao yanayotamba kwa Redio na Tv stations.
Muda ukawadia kwa wakali wa stage Africa P-Square kuingia Jukwaani na kuanza kufanya show non stop kwa ngoma zao za zamani na mpya kwa takribani masaa mawili na madakika kibao.
Paul na Peter walidhihilisha wazi kwa mashabiki wa Tzee kuwa wana uwezo wa kutumia Jukwaa, hakika kila mtu aliyeondoka pale alikuwa anawazungumzia PSquare kwa show yao bomba, Pia ilikuwa kama fundisho kwa wasanii wa kibongo wanaofanya show kwa desturi.




















 Source: BabuKubwaMagazine
© Dvj Sweetp

0 comments:

Post a Comment

.