Blogger Widgets
Home » , , » MUSIC | Roma - K.K.K (Coming Soon) - Hii ni Cover yake

MUSIC | Roma - K.K.K (Coming Soon) - Hii ni Cover yake


 What happen? linaweza likawa swali katika kuona picha kama hii, lakini ni Song Cover ya wimbo mpya ambao mashabiki wa muziki wa Hip Hop wanausubiri kwa hamu kuweza kufahamu nini kilicho ndani yake, Kama ilivyo subiriwa 2030 sasa ni K.K.K ya kwake Roma, ambayo itatoka muda sio mrefu.

© Dvj Sweetp

0 comments:

Post a Comment

.