Blogger Widgets
Home » » DOWNLOAD | JCB feat MO PLUS & DOMOKAYA - NIENDE WAPI(Mp3 Audio)

DOWNLOAD | JCB feat MO PLUS & DOMOKAYA - NIENDE WAPI(Mp3 Audio)


Hii ni nyimbo mpya toka kwa JCB na MOPLUS ikiwa inapatikana katika kanda mseto yao ya pamoja itakayotoka mwezi wa tatu na kuitwa "Makalla Wa Ukoo VOL 1"Wimbo huu wa "NIENDE WAPI" Umefanywa katika Studio za Noizmekah na ni Beat ya Producer Zigilaa na Vocal mix yake producer Defxtro,Domokaya toka wamandavako ameshirikishwa katika chorus na pia verse moja

© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.