Blogger Widgets
Home » » OFFICIAL VIDEO | AIKA & NAHREEL - USINIBWAGE(Watch it)

OFFICIAL VIDEO | AIKA & NAHREEL - USINIBWAGE(Watch it)


Baada ya kujitoa katika kundi la Pah One, na pia kuachia track yao mpya ya "Usinibwage" sasa Aika na Nahreel wametoa tena Video mpya ya wimbo huo..Itazame hapo chini..lakini huu ndio Ujumbe wa Aika kwa Mashabiki....

"Usinibwage is a love song that shows the importance of trust in relationship, AIKA (Twitter:@Aikamarealle)and Nahreel have released Usinibwage as their first swahili song after the Pah One group Projects.

Song produced by Nahreel (Twitter @Nahreel)
Vocal: Mr. Thomas
Studio: Hometown Recordz

stay tuned for more tracks "
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.