Blogger Widgets
Home » » MUZIKI | OFFICIA RELEASE KUTOKA KWA FEZA KESSY - AMANI YA MOYO

MUZIKI | OFFICIA RELEASE KUTOKA KWA FEZA KESSY - AMANI YA MOYO


Baada ya kutambulishwa na Unity Entertainment Label ambayo inasimamiwa na Msanii AY. Sasa wimbo ambao ulikuwa ukisubiliwa kwa hamu na watu wengi kutoka kwa Msanii Feza Kessy utatoka rasmi tarehe 11.02.2013 siku ya Jumatatu.
Wimbo huo unaenda kwa Jina la Amani ya Moyo ambao umetengezwa katika Studio za Mpo Africa chini ya Producer Ben Mwamba na kufanyiwa Mixing na Producer Marco Chali wa Mj Records
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.