Blogger Widgets
Home » , , , , , , , , , » Tanzanian Blog Awards: Featured Blogger - Sweetbert Philemon

Tanzanian Blog Awards: Featured Blogger - Sweetbert Philemon


Baada ya kufaulu kujibi Maswali ya Featured Blogger of the Week yanayotolewa na Tanzania Blog Award, Mtandao ambao unasajili blog zote nchini. Nimefanikiwa kuwa Featured Blogger wa wiki hii. 
Nakushuru sana wewe unaeendlea kuitembelea blog hii, lakini pia pamoja kuitangaza kwa namna moja ama nyingine, Nawapa pongezi zangu za dhati Tanzania Blog Award kwa kazi ambayo wanaifanya ili kuhakikisaha Blogger wanafanikiwa.
Bonyeza link hii hapa chini ili kuweza kusoma Maelezo zaidi>>>>
Tanzanian Blog Awards: Featured Blogger - Sweetbert Philemon

© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.