Blogger Widgets
Home » , » PICHA | HII NDIYO PICHA ALIYOIPOST DIAMOND MTANDAONI(Mpenzi wa Sasa)

PICHA | HII NDIYO PICHA ALIYOIPOST DIAMOND MTANDAONI(Mpenzi wa Sasa)


Hii ni baada ya Diamond kuwa katika Mahusiano mbalimbali, Hatimaye amepost picha ya Mpenzi wake mpya kupitia mtandao wa Facebook. Diamond ambaye aliwahi kuwa na uhusiano na Mwigizaji wema Sepetu, pia kudhaniwa kuwa na uhusiano na Jokate.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.