Msanii Chriss Brown pamoja na Mpenzi wake ambaye wamerudiana jana walionekana kutoka pamoja wakielekea Mahakamani Jijini Los Angeless.
Chriss Brown pamoja na Rihanna walisindikizwa pamoja na Mama yake Chriss Brown kuelekea mahakamani, huku Chriss akidanganya masaa ya kazi alizozifanya katika jamaii kama probation ya kufuatia kesi ya kumpiga Rihanaa mwaka 2009.
Wakili wa Chriss Brown, Mark Geragos na Polisi wa Richmond Virginia wamekanusha madai hayo, Akiongea na waaandishi wa Habari wakili wa Chriss Brown alisema "Sijawahi kuwa na mteja aliyeteswa kama Chriss Brown. Rihhana kwa upande wake alisema hajalizishwa na madai hayo mapya.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment