Blogger Widgets
Home » , , » EXCLUSIVE | Diamond kajibu tuhuma zote ikiwemo ya kumzalisha Mwanafunzi (Audio)

EXCLUSIVE | Diamond kajibu tuhuma zote ikiwemo ya kumzalisha Mwanafunzi (Audio)


 Hatimaye mkali wa My Number One, Diamond Platnumz amefunguka kuhusu, tuhuma kadhaa ambazo zilikuwa zinamkabili, ikwemo ya Kuiba wimbo wa Dayna Nyange pamoja na Chorus ya Baba Levo, mbali na hayo Jambo kubwa kabisa la kumzalisha mwanafunzi kamailivyoripotiwa na Magazeti mbalimbali. Diamond amezungumza katika kipindi cha XXL Cha Clouds Fm.
Msikilize hapa:-

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment