Blogger Widgets
Home » , , , » EXCLUSIVE | Rayc back again in Game, Haya ni mashairi ya wimbo wake Mpya!!

EXCLUSIVE | Rayc back again in Game, Haya ni mashairi ya wimbo wake Mpya!!Rayc amepost picha ambazo ainamuonesha akiwa Studio, bila shaka ni kwa maandalizi ya wimbo mpya, amabo anaamini kabisa utamrudisha katika gemu hii ya Muziki wa bongo. Picha hizo zimemuonesha Rayc akiwa na Baadhi ya wadau wa Muziki kama Said Felah na Babu Tale, huku akiandika  "Mashairi ya my new song....,its very beautiful song....am soooooooo happy...Thank you Lord"

Hii ni picha ya mashairi ya wimbo wa Ray C


Mbali na hilo pia kuna picha ambayo inamuonesha Ray C akiwa na Ommy Ndimpoz tayari kwa kazi mpya kutengenezwa.

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment