Blogger Widgets
Home » , , , » EXCLUSIVE | Kila siku Diamond anazidi kufurahia Mafanikio yake, Deal nyingine mpya hii hapa!!

EXCLUSIVE | Kila siku Diamond anazidi kufurahia Mafanikio yake, Deal nyingine mpya hii hapa!!Diamond anaweza kuendelea kuwa Msanii wa kipekee kwa sasa ambaye amekuwa akifurahia mafanikio yake kila kukicha. Hii ni baada ya kusaini Deal mpya na kampuni ya Vodacom katika RBT (Ring Back Tone), Huku video yake ya My Number One ikiendelea kukumimina watazamaji katika mtandao wa Youtube hadi kufikia watu 188, 000 kwa wiki
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment