Blogger Widgets
Home » , , » STORY | Hii ndiyo cover ya wimbo wa Robin Thicke aliyoweka warembo walio watupu

STORY | Hii ndiyo cover ya wimbo wa Robin Thicke aliyoweka warembo walio watupuCover ya wimbo mpya wa Robin Thicke imeleta utata na watu kuishangaa, kutokana na Cover hiyo kutengenezw huku ikiwa na Picha za wasichana watupu, huku wakiwa wamemkumbatia Robin Thicke makali wa ngoma ya "Pharrell" aliyofanya na TI.

Robin alisema nimefanya cover picha za mwonekano tofauti, lakini si wasichana wakiwa uchi, nalipenda sana hilo cover, na linaonekana kitofauti zaidi. Huku mke wake akichukulia poa inshu hiyo na kusema Mume wake anapenda utani hivyo , hata hiyo cover kaitengeneza kama utani tu.

Robin yuko katika maandalizi ya kuachia video mpya ya wimbo wake wa Treats

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment